DAFTARI LA MKUTANO WA HUDUMA NA MAISHA

Yesu Ana Nguvu za Kuwafufua Wapendwa Wetu Waliokufa

Kiswahili
Yesu Ana Nguvu za Kuwafufua Wapendwa Wetu Waliokufa
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/202018132/univ/art/202018132_univ_sqr_xl.jpg

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MARKO 5-6

Yesu Ana Nguvu za Kuwafufua Wapendwa Wetu Waliokufa

Yesu Ana Nguvu za Kuwafufua Wapendwa Wetu Waliokufa

5:38-42

  • Huzuni tunayohisi mpendwa wetu anapokufa, haimaanishi kwamba hatuna imani katika ufufuo (Mwa 23:2)

  • Kutafakari masimulizi ya Biblia kuhusu ufufuo mbalimbali kutaimarisha imani yetu katika ufufuo wa wakati ujao

Unatamani kumkaribisha nani atakapofufuliwa?

Unawazia hali itakuwaje mtakapoonana naye tena?