HABARI NJEMA KULINGANA NA YESU—MWONGOZO WA MAREJEO YA VIDEO

“Mimi . . . Ndiye”​—Mwongozo wa Marejeo ya Video

Kiswahili
“Mimi . . . Ndiye”​—Mwongozo wa Marejeo ya Video
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1200280003/univ/art/1200280003_univ_sqr_xl.jpg
gnjvrg sura 3

DRAMA YA 3

“Mimi . . . Ndiye”

“Mimi . . . Ndiye”

Yesu anamfafanulia Nikodemo kuhusu kuzaliwa kwa maji na roho (gnj 3 00:00-04:43)

Mwana wa binadamu atainuliwa kama nyoka alivyoinuliwa nyikani (gnj 3 04:43-05:02)

Mungu alimtuma Mwana wake mzaliwa pekee, si ili auhukumu ulimwengu, bali auokoe (gnj 3 05:02-07:52)

Yohana anatoa ushahidi wa mwisho kumhusu Yesu (gnj 3 08:08-10:19)

Kumwamini Mwana, aliyetoka juu, kunamaanisha uzima wa milele (gnj 3 10:19-11:45)

Yesu anafika akiwa amechoka kwenye kisima cha Yakobo kilichopo Sikari, Samaria (gnj 3 13:28-14:35)

Yesu anaanzisha mazungumzo na mwanamke Msamaria (gnj 3 14:35-16:52)

Yesu anamfundisha mwanamke Msamaria kuhusu ibada ya kweli (gnj 3 16:52-18:39)

Yesu anamfunulia mwanamke Msamaria kwamba yeye ndiye Masihi (gnj 3 18:39-19:06)

Mwanamke Msamaria anatoa ushahidi kwa wengine (gnj 3 19:06-19:45)

Yesu analinganisha kufanya mapenzi ya Mungu na chakula; anaongea kuhusu mavuno ya kiroho (gnj 3 19:45-21:15)

Wasamaria wengi wanamwamini Yesu kuwa “mwokozi wa ulimwengu” (gnj 3 21:15-22:07)

Yesu anamponya mwana wa ofisa huko Kana ya Galilaya (gnj 3 23:07-26:20)

Yesu anakataliwa huko Nazareti (gnj 3 26:20-30:48)

Yesu anaenda Kapernaumu (gnj 3 30:53-31:56)

Wanavua samaki kimuujiza; wanafunzi wa kwanza waitwa (gnj 3 31:56-39:34)