Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Kitabu cha Pili cha Wafalme

Sura

Muhtasari wa Yaliyomo

 • 1

  • Eliya atabiri kifo cha Ahazia (1-18)

 • 2

  • Eliya apelekwa juu katika dhoruba ya upepo (1-18)

   • Elisha apata vazi rasmi la Eliya (13, 14)

  • Elisha ayaponya maji ya Yeriko (19-22)

  • Dubu wawaua wavulana kutoka Betheli (23-25)

 • 3

  • Yehoramu, mfalme wa Israeli (1-3)

  • Wamoabu wawaasi Waisraeli (4-25)

  • Wamoabu washindwa (26, 27)

 • 4

  • Elisha afanya mafuta ya mjane yaongezeke (1-7)

  • Ukarimu wa mwanamke Mshunamu (8-16)

  • Mwanamke huyo athawabishwa kwa kupewa mwana; mwana huyo afa (17-31)

  • Elisha amfufua mwana huyo (32-37)

  • Elisha aufanya mchuzi unyweke (38-41)

  • Elisha afanya mikate iongezeke (42-44)

 • 5

  • Elisha amponya Naamani ukoma (1-19)

  • Gehazi mwenye pupa apigwa na ukoma (20-27)

 • 6

  • Elisha afanya shoka lielee (1-7)

  • Elisha apambana na Wasiria (8-23)

   • Macho ya mtumishi wa Elisha yafunguliwa (16, 17)

   • Wasiria wapofushwa akili (18, 19)

  • Njaa kali katika jiji lililozingirwa la Samaria (24-33)

 • 7

  • Elisha atabiri mwisho wa njaa kali (1, 2)

  • Chakula chapatikana katika kambi iliyoachwa ya Wasiria (3-15)

  • Unabii wa Elisha watimizwa (16-20)

 • 8

  • Mwanamke Mshunamu arudishiwa shamba lake (1-6)

  • Elisha, Ben-hadadi, na Hazaeli (7-15)

  • Yehoramu, mfalme wa Yuda (16-24)

  • Ahazia, mfalme wa Yuda (25-29)

 • 9

  • Yehu atiwa mafuta kuwa mfalme wa Israeli (1-13)

  • Yehu amuua Yehoramu na Ahazia (14-29)

  • Yezebeli auawa; mbwa wala maiti yake (30-37)

 • 10

  • Yehu awaua watu wa nyumba ya Ahabu (1-17)

   • Yehonadabu ajiunga na Yehu (15-17)

  • Yehu awaua waabudu wa Baali (18-27)

  • Maelezo kuhusu utawala wa Yehu (28-36)

 • 11

  • Athalia aunyakua ufalme (1-3)

  • Yehoashi awekwa kisiri kuwa mfalme (4-12)

  • Athalia auawa (13-16)

  • Mabadiliko yaliyofanywa na Yehoyada (17-21)

 • 12

  • Yehoashi, mfalme wa Yuda (1-3)

  • Yehoashi arekebisha hekalu (4-16)

  • Wasiria wavamia (17, 18)

  • Yehoashi auawa (19-21)

 • 13

  • Yehoahazi, mfalme wa Israeli (1-9)

  • Yehoashi, mfalme wa Israeli (10-13)

  • Elisha apima bidii ya Yehoashi (14-19)

  • Kifo cha Elisha; mifupa yake yamfufua mtu (20, 21)

  • Unabii wa mwisho wa Elisha watimizwa (22-25)

 • 14

  • Amazia, mfalme wa Yuda (1-6)

  • Apigana vita na Waedomu na Waisraeli (7-14)

  • Kifo cha Yehoashi wa Israeli (15, 16)

  • Kifo cha Amazia (17-22)

  • Yeroboamu wa Pili, mfalme wa Israeli (23-29)

 • 15

  • Azaria, mfalme wa Yuda (1-7)

  • Wafalme wa mwisho wa Israeli: Zekaria (8-12), Shalumu (13-16), Menahemu (17-22), Pekahia (23-26), Peka (27-31)

  • Yothamu, mfalme wa Yuda (32-38)

 • 16

  • Ahazi, mfalme wa Yuda (1-6)

  • Ahazi awahonga Waashuru (7-9)

  • Ahazi aiga madhabahu ya wapagani (10-18)

  • Kifo cha Ahazi (19, 20)

 • 17

  • Hoshea, mfalme wa Israeli (1-4)

  • Kuanguka kwa Israeli (5, 6)

  • Waisraeli wapelekwa uhamishoni kwa sababu ya uasi imani (7-23)

  • Wageni waletwa katika majiji ya Samaria (24-26)

  • Mchanganyiko wa dini katika Samaria (27-41)

 • 18

  • Hezekia, mfalme wa Yuda (1-8)

  • Maelezo kuhusu kuanguka kwa Israeli (9-12)

  • Senakeribu avamia Yuda (13-18)

  • Rabshake amdhihaki Yehova (19-37)

 • 19

  • Hezekia amwomba Mungu msaada kupitia Isaya (1-7)

  • Senakeribu alitisha jiji la Yerusalemu (8-13)

  • Sala ya Hezekia (14-19)

  • Isaya ampa Hezekia jibu kutoka kwa Mungu (20-34)

  • Malaika awaua Waashuru 185,000 (35-37)

 • 20

  • Hezekia awa mgonjwa kisha apona (1-11)

  • Wajumbe kutoka Babiloni (12-19)

  • Kifo cha Hezekia (20, 21)

 • 21

  • Manase, mfalme wa Yuda; jinsi alivyomwaga damu (1-18)

   • Jiji la Yerusalemu kuharibiwa (12-15)

  • Amoni, mfalme wa Yuda (19-26)

 • 22

  • Yosia, mfalme wa Yuda (1, 2)

  • Maagizo ya kurekebisha hekalu (3-7)

  • Kitabu cha Sheria chapatikana (8-13)

  • Hulda atabiri msiba (14-20)

 • 23

  • Yosia afanya mabadiliko (1-20)

  • Pasaka yasherehekewa (21-23)

  • Yosia afanya mabadiliko zaidi (24-27)

  • Kifo cha Yosia (28-30)

  • Yehoahazi, mfalme wa Yuda (31-33)

  • Yehoyakimu, mfalme wa Yuda (34-37)

 • 24

  • Uasi na kifo cha Yehoyakimu (1-7)

  • Yehoyakini, mfalme wa Yuda (8, 9)

  • Uhamisho wa kwanza wa kwenda Babiloni (10-17)

  • Sedekia, mfalme wa Yuda; uasi wake (18-20)

 • 25

  • Nebukadneza azingira Yerusalemu (1-7)

  • Jiji la Yerusalemu laharibiwa pamoja na hekalu lake; uhamisho wa pili (8-21)

  • Gedalia awekwa kuwa gavana (22-24)

  • Gedalia auawa; watu wakimbilia Misri (25, 26)

  • Yehoyakini aachiliwa huru Babiloni (27-30)