Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Kitabu cha Kwanza cha Wafalme

Sura

Muhtasari wa Yaliyomo

 • 1

  • Daudi na Abishagi (1-4)

  • Adoniya atafuta kiti cha ufalme (5-10)

  • Nathani na Bath-sheba wachukua hatua (11-27)

  • Daudi aagiza Sulemani atiwe mafuta (28-40)

  • Adoniya akimbilia kwenye madhabahu (41-53)

 • 2

  • Daudi ampa maagizo Sulemani (1-9)

  • Daudi afa; Sulemani aketi kwenye kiti cha ufalme (10-12)

  • Njama ya Adoniya yasababisha auawe (13-25)

  • Abiathari afukuzwa; Yoabu auawa (26-35)

  • Shimei auawa (36-46)

 • 3

  • Sulemani amwoa binti ya Farao (1-3)

  • Yehova amtokea Sulemani katika ndoto (4-15)

   • Sulemani aomba hekima (7-9)

  • Sulemani aamua kesi ya mama wawili (16-28)

 • 4

  • Wasimamizi katika utawala wa Sulemani (1-19)

  • Ufanisi katika utawala wa Sulemani (20-28)

   • Wakaa kwa usalama chini ya mzabibu na mtini (25)

  • Hekima na methali za Sulemani (29-34)

 • 5

  • Mfalme Hiramu ampa Sulemani vifaa vya ujenzi (1-12)

  • Wafanyakazi wa Sulemani walioandikishwa (13-18)

 • 6

  • Sulemani ajenga hekalu (1-38)

   • Chumba cha ndani zaidi (19-22)

   • Makerubi (23-28)

   • Michongo, milango, ua wa ndani (29-36)

   • Hekalu lakamilishwa kwa muda wa miaka saba hivi (37, 38)

 • 7

  • Majengo yaliyozunguka jumba la Mfalme Sulemani (1-12)

  • Hiramu mwenye ustadi amsaidia Sulemani (13-47)

   • Nguzo mbili za shaba (15-22)

   • Bahari ya madini yaliyoyeyushwa (23-26)

   • Magari kumi na mabeseni ya shaba (27-39)

  • Vyombo vya dhahabu vyakamilishwa (48-51)

 • 8

  • Sanduku la agano laletwa hekaluni (1-13)

  • Sulemani awahutubia watu (14-21)

  • Sala ya Sulemani ya kuweka wakfu hekalu (22-53)

  • Sulemani awabariki watu (54-61)

  • Dhabihu na sherehe ya wakfu (62-66)

 • 9

  • Yehova amtokea tena Sulemani (1-9)

  • Zawadi ya Sulemani kwa Mfalme Hiramu (10-14)

  • Miradi mbalimbali ya Sulemani (15-28)

 • 10

  • Malkia wa Sheba amtembelea Sulemani (1-13)

  • Utajiri mwingi wa Sulemani (14-29)

 • 11

  • Wake za Sulemani waugeuza moyo wake (1-13)

  • Wapinzani wa Sulemani (14-25)

  • Yeroboamu aahidiwa makabila kumi (26-40)

  • Sulemani afa; Rehoboamu awekwa kuwa mfalme (41-43)

 • 12

  • Rehoboamu awajibu watu kwa ukali (1-15)

  • Makabila kumi yaasi (16-19)

  • Yeroboamu awekwa kuwa mfalme wa Israeli (20)

  • Rehoboamu aambiwa asipigane na Waisraeli (21-24)

  • Yeroboamu aanzisha ibada ya ndama (25-33)

 • 13

  • Unabii dhidi ya madhabahu ya Betheli (1-10)

   • Madhabahu yapasuka (5)

  • Mtu wa Mungu akosa kutii (11-34)

 • 14

  • Unabii wa Ahiya dhidi ya Yeroboamu (1-20)

  • Rehoboamu atawala Yuda (21-31)

   • Shishaki ashambulia (25, 26)

 • 15

  • Abiyamu, mfalme wa Yuda (1-8)

  • Asa, mfalme wa Yuda (9-24)

  • Nadabu, mfalme wa Israeli (25-32)

  • Baasha, mfalme wa Israeli (33, 34)

 • 16

  • Hukumu ya Yehova dhidi ya Baasha (1-7)

  • Ela, mfalme wa Israeli (8-14)

  • Zimri, mfalme wa Israeli (15-20)

  • Omri, mfalme wa Israeli (21-28)

  • Ahabu, mfalme wa Israeli (29-33)

  • Hieli ajenga upya Yeriko (34)

 • 17

  • Nabii Eliya atabiri ukame (1)

  • Eliya alishwa na kunguru (2-7)

  • Eliya amtembelea mjane kule Sarefathi (8-16)

  • Mwana wa mjane afa na kufufuliwa (17-24)

 • 18

  • Eliya akutana na Obadia na Ahabu (1-18)

  • Eliya apambana na manabii wa Baali kule Karmeli (19-40)

   • “Kuyumbayumba kati ya maoni mawili” (21)

  • Ukame wa miaka mitatu na nusu waisha (41-46)

 • 19

  • Eliya akimbia ghadhabu ya Yezebeli (1-8)

  • Yehova amtokea Eliya kule Horebu (9-14)

  • Eliya aambiwa amtie mafuta Hazaeli, Yehu, Elisha (15-18)

  • Elisha awekwa rasmi kuchukua nafasi ya Eliya (19-21)

 • 20

  • Wasiria wapigana vita dhidi ya Ahabu (1-12)

  • Ahabu awashinda Wasiria (13-34)

  • Unabii dhidi ya Ahabu (35-43)

 • 21

  • Ahabu atamani shamba la mizabibu la Nabothi (1-4)

  • Yezebeli apanga njama ya kumuua Nabothi (5-16)

  • Ujumbe wa Eliya dhidi ya Ahabu (17-26)

  • Ahabu ajinyenyekeza (27-29)

 • 22

  • Yehoshafati aungana na Ahabu (1-12)

  • Mikaya atabiri kwamba watashindwa (13-28)

   • Roho ya udanganyifu itampumbaza Ahabu (21, 22)

  • Ahabu auawa huko Ramothi-gileadi (29-40)

  • Yehoshafati atawala Yuda (41-50)

  • Ahazia mfalme wa Israeli (51-53)