Watoto, je, mnawaambia wazazi wenu kwamba mnawapenda? Pakua ukurasa huu wa muziki na mwimbe pamoja na Sofia anapowaimbia wazazi wake.