Hamia kwenye habari

KADI ZA WAHUSIKA KATIKA BIBLIA

Mfalme Sauli

Pakua kadi hii ya mhusika katika Biblia na ujifunze kumhusu Sauli, ambaye mwanzoni alikuwa mnyenyekevu lakini baadaye akawa mfalme mwenye kiburi. Chapisha, kata, kunja katikati, na uhifadhi.