Pakua kadi hii ya mhusika katika Biblia ujifunze kuhusu Yona. Kata, kunja katikati, na uhifadhi.