Mfalme Manase alifanya mambo mabaya sana, lakini Yehova akamsamehe. Kwa nini? Soma hadithi hii kwenye tovuti yetu au kwenye karatasi iliyochapishwa.