Katika hadithi hii ya Biblia, jifunze jinsi Mfalme Sulemani alivyopata hekima lakini baadaye akafanya makosa ya kipumbavu. Soma hadithi hii iliyochorwa kwenye mtandao au kwenye nakala iliyochapwa.