HADITHI ZA BIBLIA ZILIZOCHORWA

Mungu Amtuma Musa Nchini Misri

Kiswahili
Mungu Amtuma Musa Nchini Misri
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/502014127/univ/art/502014127_univ_sqr_xl.jpg

HADITHI ZA BIBLIA ZILIZOCHORWA

Mungu Amtuma Musa Nchini Misri

Jifunze jinsi Yehova Mungu alivyothibitika kuwa na nguvu kuliko Farao mshupavu wa Misri. Soma michoro inayosimulia hadithi hiyo katika Intaneti au kwenye kurasa zinazoweza kuchapwa.