HADITHI ZA BIBLIA ZILIZOCHORWA

Daudi Atenda kwa Ujasiri

Kwa sababu mvulana aitwaye Daudi alimtumaini Yehova, kwa ujasiri aliweza kulishinda jitu. Soma hadithi hiyo kwenye tovuti yetu au katika kurasa zilizochapwa.