Kiswahili
Sauti za Ndege Waimbaji​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/502200145/univ/art/502200145_univ_sqr_xl.jpg
ijwwd makala 42

JE, NI KAZI YA UBUNI?

Sauti za Ndege Waimbaji

Sauti za Ndege Waimbaji

Ndege wana ala ya sauti ambayo haipatikani katika mnyama mwingine yeyote inayowasaidia kutokeza milio ya aina mbalimbali.