Je, kuna mtu anayekushinikiza umtumie ujumbe mchafu? Kuna madhara gani ya kutuma ujumbe mchafu? Je, ni tendo lisilo na madhara la kumchezea mtu mwingine kimapenzi?
Wanaume na wanawake wa kweli wana uwezo wa kupinga vishawishi. Soma madokezo sita yanayoweza kukusaidia kuimarisha azimio lako la kuepuka mahangaiko yanayotokana na kukubali kushawishiwa.