Vipimo vya ufikikaji

Chagua lugha

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

HADITHI ZA BIBLIA ZILIZOCHORWA

HADITHI ZA BIBLIA ZILIZOCHORWA

Waisraeli Watengeneza Ndama ya Dhahabu

Jifunze kuhusu Haruni, kaka ya Musa, na jinsi alivyotenda dhambi kwa kuwasaidia Waisraeli kutengeneza ndama ya dhahabu. Soma hadithi hii ya Biblia iliyochorwa kwenye Intaneti au kwenye karatasi iliyochapishwa.

Angalia Zote

Habari Zaidi Katika Mkusanyo Huu

Noa Aonyesha Imani kwa Mungu

Kwa mwongozo wa Mungu, Noa alijenga safina ili aokoe familia yake kutokana na Gharika. Unaweza kujifunza nini kuhusu imani kwa Mungu kutokana na hadithi ya Noa na Gharika?

Adamu na Hawa Waonyesha Ubinafsi

Ni nini kilichotokea kwa sababu ya uamuzi wao mbaya?

Daudi Atenda kwa Ujasiri

Kwa nini Daudi aliamini kwamba angeweza kumshinda Goliathi? Na kwa nini wewe unaweza kuwa na ujasiri wa kufanya lililo sawa?