Hamia kwenye habari

Kupanga Matumizi ya Pesa

Jinsi ya Kupanga Matumizi ya Pesa

Kwa nini kuaminiana na unyoofu ni mambo muhimu?

Matatizo ya Pesa na Madeni—Je, Biblia Inaweza Kukusaidia?

Pesa haziwezi kununua furaha, lakini kanuni nne za Biblia zinaweza kukusaidia utatue matatizo yako ya kifedha.

Jinsi ya Kudhibiti Matumizi

Usingoje hadi uishiwe na pesa ili uanze kufikiria jinsi unavyotumia pesa. Jifunze jinsi ya kudhibiti matumizi kabla hujashindwa kufanya hivyo.