Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Biblia​—Ina Ujumbe Gani?

Mfululizo wa Matukio

Mfululizo wa Matukio
 1. “Hapo mwanzo . . . ”

 2. 4026 K.W.K. Kuumbwa kwa Adamu

 3.  3096 K.W.K. Kifo cha Adamu

 4.  2370 K.W.K. Gharika yaanza

 5.  2018 K.W.K. Abrahamu azaliwa

 6. 1943 K.W.K. Agano la Kiabrahamu

 7.  1750 K.W.K. Yosefu auzwa utumwani

 8.  kabla ya 1613 K.W.K. Ayubu ajaribiwa

 9.  1513 K.W.K. Kutoka Misri

 10.  1473 K.W.K. Taifa la Israeli laingia Kanaani likiongozwa na Yoshua

 11. 1467 K.W.K. Ushindi dhidi ya Kanaani wakamilika

 12.  1117 K.W.K. Sauli atiwa mafuta awe mfalme

 13.  1070 K.W.K. Mungu amwahidi Daudi Ufalme

 14. 1037 K.W.K. Sulemani awa mfalme

 15. 1027 K.W.K. Hekalu la Yerusalemu lakamilika

 16. mnamo 1020 K.W.K. Wimbo wa Sulemani wakamilika

 17.  997 K.W.K. Taifa la Israeli lagawanyika na kuwa falme mbili

 18.  mnamo 717 K.W.K. Kuandikwa kwa Methali kwakamilika

 19.  607 K.W.K. Jiji la Yerusalemu laharibiwa; uhamisho wa Babiloni waanza

 20.  539 K.W.K. Koreshi aangusha Babiloni

 21. 537 K.W.K. Wayahudi warudi Yerusalemu

 22. 455 K.W.K. Kuta za Yerusalemu zajengwa upya; Majuma 69 ya miaka yaanza

 23.  Baada ya 443 K.W.K. Malaki akamilisha kitabu chake cha kinabii

 24.  mnamo 2 K.W.K. Kuzaliwa kwa Yesu

 25. 29 W.K. Yesu abatizwa  Yesu aanza kuhubiri kuhusu Ufalme wa Mungu

 26. 31 W.K. Yesu achagua mitume 12; Mahubiri ya Mlimani

 27.  32 W.K. Yesu amfufua Lazaro

 28.  Nisani 14, 33 W.K. Yesu atundikwa (Sehemu ya mwezi wa 3 na sehemu ya mwezi wa 4 katika kalenda ya leo)

 29. Nisani 16, 33 W.K. Yesu afufuliwa

 30.  Sivani 6, 33 W.K. Pentekoste; roho takatifu yamiminwa (Sehemu ya mwezi wa 5 na sehemu ya mwezi wa 6 katika kalenda ya leo)

 31. 36 W.K. Kornelio awa Mkristo

 32.  mnamo 47-48 W.K. Safari ya kwanza ya Paulo ya kuhubiri

 33. mnamo 49-52 W.K. Safari ya pili ya Paulo ya kuhubiri

 34. mnamo 52-56 W.K. Safari ya tatu ya Paulo ya kuhubiri

 35.  mnamo 60-61 W.K. Paulo aandika barua akiwa gerezani Roma

 36.  kabla ya 62 W.K. Yakobo, ndugu wa kambo wa Yesu, aandika barua yake

 37.  66 W.K. Wayahudi waasi dhidi ya Roma

 38. 70 W.K. Waroma waharibu Yerusalemu pamoja na hekalu lake

 39.  mnamo 96 W.K. Yohana aandika Ufunuo

 40. mnamo 100 W.K. Kifo cha Yohana, mtume wa mwisho