1. Kwa nini ni vigumu kufanya mema? (1 Pet. 5:8; Rom. 12:2; Rom. 7:21-25)

  2. Kupanda kwa mwili kunamaanisha nini, na tunaweza kuepukaje kufanya hivyo? (Gal. 6:8)

  3. Tunapaswa ‘kuwatendea nani mema’? (Gal. 6:10)

  4. Tunaweza kupanda kwa roho katika njia zipi? (Gal. 6:8)

  5. Tutavuna nini ikiwa hatutachoka kabisa? (Gal. 6:9)