ASUBUHI

 • 3:30 Muziki

 • 3:40 Wimbo Na. 77 na Sala

 • 3:50 Kwa Nini Ni Vigumu Kufanya Mema?

 • 4:05 Mfululizo: Epuka Kupanda kwa Mwili

  • Tumia Mitandao ya Kijamii kwa Hekima

  • Chagua Burudani Zinazofaa

  • Shinda Mwelekeo wa Kuwa na Wivu

  • Jitafutie Wakati Ujao Salama

 • 5:05 Wimbo Na. 45 na Matangazo

 • 5:15 Endelea Kuwatendea Watu Wote Mema

 • 5:30 Wakfu na Ubatizo

 • 6:00 Wimbo Na. 63

 ALASIRI

 • 7:10 Muziki

 • 7:20 Wimbo Na. 127 na Sala

 • 7:30 Hotuba ya Watu Wote: Epuka Kumdhihaki Mungu—Jinsi Gani?

 • 8:00 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi

 • 8:30 Wimbo Na. 59 na Matangazo

 • 8:40 Mfululizo: Endelea Kupanda kwa Roho

  • Sitawisha Mazoea Mazuri ya Kujifunza

  • Tumia Kanuni za Biblia Kuongoza Maisha Yako

  • “Usipumzishe Mkono Wako”

 • 9:40 Kile Ambacho Tutavuna Ikiwa Hatutachoka Kabisa

 • 10:15 Wimbo Na. 126 na Sala