Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Tafuta Majibu ya Maswali Haya

Tafuta Majibu ya Maswali Haya
  1. “Sheria ya Kristo” ni nini? (Gal. 6:2)

  2. Tunaweza kutimizaje sheria ya Kristo tukiwa faraghani? (1 Kor. 10:31)

  3. Tunatimizaje sheria ya Kristo katika huduma ya shambani? (Luka 16:10; Mt. 22:39; Mdo. 20:35)

  4. Ni nini kinachoifanya sheria ya Kristo iwe bora kuliko Sheria ya Musa? (1 Pet. 2:16)

  5.   Ni kwa njia gani wenzi wa ndoa na wazazi wanaweza kutimiza sheria ya Kristo katika familia zao? (Efe. 5:22, 23, 25; Ebr. 5:13, 14)

  6. Unaweza kutimizaje sheria ya Kristo unapokuwa shuleni? (Zab. 1:1-3; Yoh. 17:14)

  7. Ni kwa njia zipi tunaweza kuwapenda wengine kama Yesu alivyotupenda? (Gal. 6:1-5, 10)