1. Kwa nini tunaweza kumwomba Yehova ujasiri tukiwa na uhakika? (Zab. 138:3)

  2. Tunaweza kufanya nini ili tuwe na ujasiri kama watumishi waaminifu wa zamani wa Mungu? (Mdo. 4:31)

  3. Tunawezaje kujipa ujasiri katika huduma? (1 The. 2:2)

  4. Ni nini kinachotuwezesha kutenda kwa ujasiri tunaposhinikizwa? (1 Pet. 2:21-23)

  5. Tutapata thawabu zipi kutokana na ujasiri wa Kikristo? (Ebr. 10:35)