TAZAMA

MFUATANO WA MATUKIO (MIAKA YOTE NI K.W.K.)

 1. 620: Babiloni yaanza kuitawala Yerusalemu

  Nebukadneza amfanya mfalme wa Yerusalemu kuwa kibaraka

 2. 617: Babiloni wachukua mateka wa kwanza kutoka Yerusalemu

  Watawala, mashujaa wenye nguvu, na mafundi wapelekwa Babiloni

 3. 607: Babiloni yaharibu Yerusalemu

  Jiji lachomwa moto pamoja na hekalu lake

 4. Baada ya 607: Tiro ya nchi kavu

  Nebukadneza anashambulia Tiro kwa miaka 13. Anateka Tiro ya nchi kavu lakini jiji lililo kisiwani linabaki

 5. 602: Amoni na Moabu

  Nebukadneza ashambulia Amoni na Moabu

 6. 588: Babiloni yaishinda Misri

  Katika mwaka wa 37 wa utawala wake, Nebukadneza anaishambulia Misri

 7. 332: Tiro, jiji la kisiwani

  Jeshi la Ugiriki likiongozwa na Aleksanda Mkuu linaharibu jiji la kisiwani la Tiro

 8. 332 au mapema zaidi: Ufilisti

  Aleksanda ashinda Gaza, jiji kuu la Wafilisti

Maeneo Yaliyo Kwenye Ramani

 • UGIRIKI

 • BAHARI KUU

 • (BAHARI YA MEDITERANIA)

 • TIRO

 • Sidoni

 • Tiro

 • Samaria

 • Yerusalemu

 • Gaza

 • UFILISTI

 • MISRI

 • BABILONI

 • AMONI

 • MOABU

 • EDOMU