Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Kuhubiri na Kufundisha Duniani Kote

Kuhubiri na Kufundisha Duniani Kote

 ULIMWENGUNI KOTE

  • IDADI YA NCHI 240

  • KILELE CHA WAHUBIRI 8,220,105

  • JUMLA YA SAA ZILIZOTUMIWA KATIKA HUDUMA YA SHAMBANI 1,933,473,727

  • IDADI YAI MAFUNZO YA BIBLIA 9,708,968

KATIKA SEHEMU HII

Afrika

Mashahidi wametumia mbinu gani mpya ili kuhubiri habari njema?

Amerika

Kwa nini mwanamke fulani aliamua kujifunza akiwa shambani kwa kutumia mshumaa? Ni nini kilichomchochea chifu wa jamii ya Amerindian kuwakaribisha Mashahidi? Na kwa nini aliyekuwa mtesaji alilia?

Asia na Mashariki ya Kati

Hakuna kinachowazuia Wahubiri wa Ufalme—uwe ulemavu au kufungwa.

Ulaya

Jinsi Mwanaume Mromani, mfungwa, na mwanamke aliyetaka kujiua walivyovutiwa na ujumbe wa kweli.

Oceania

Meza za machapisho, vigari vya machapisho, tovuti ya jw.org, na video za kitheokrasi zimesaidia kupanda mbegu za kweli kwa maelfu ya watu!