Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

2015 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova

Kuhubiri na Kufundisha Duniani Kote

Kuhubiri na Kufundisha Duniani Kote

 ULIMWENGUNI POTE

  • IDADI YA NCHI 239

  • IDADI YA WAHUBIRI 8,201,545

  • JUMLA YA SAA ZILIZOTUMIWA KATIKA HUDUMA YA SHAMBANI 1,945,487,604

  • IDADI YA MAFUNZO YA BIBLIA 9,499,933

KATIKA SEHEMU HII

Afrika

Soma kuhusu matukio muhimu ya kazi ya Mashahidi wa Yehova ya kuwafundisha watu Biblia nchini Afrika Kusini, Angola, Ghana, Kongo (Kinshasa), na Nigeria katika mwaka wa 2014.

Amerika

Soma kuhusu matukio muhimu ya kazi ya Mashahidi wa Yehova ya kuwafundisha watu Biblia nchini Argentina, Brazili, Haiti, Paraguai, na Suriname katika mwaka wa 2014.

Asia na Mashariki ya Kati

Soma kuhusu matukio muhimu ya kazi ya Mashahidi wa Yehova ya kuwafundisha watu Biblia nchini Filipino, Indonesia, Mongolia, na nchi nyingine Barani Asia katika mwaka wa 2014.

Ulaya

Soma kuhusu matukio muhimu ya kazi ya Mashahidi wa Yehova ya kuwafundisha watu Biblia nchini Bulgaria, Finland, Hispania, Rumania, Sweden, Ujerumani, na Urusi katika mwaka wa 2014.

Oceania

Soma kuhusu matukio muhimu ya kazi ya Mashahidi wa Yehova ya kuwafundisha watu Biblia kwenye visiwa vya Kiribati, Papua New Guinea, Vanuatu na Visiwa vya Marshall katika mwaka wa 2014.