Monica Richardson alibadili maoni yake kuhusu chanzo cha uhai kwa kutegemea elimu yake na pia mambo aliyojionea akiwa daktari.