Irène aliamini kwamba kufanana kwa muundo wa miili ya wanyama mbalimbali kulithibitisha kwamba nadharia ya mageuzi ni ya kweli. Hata hivyo, kazi yake iliyohusisha kushughulikia miguu bandia ilimfanya atilie shaka maoni yake.