Maji ni muhimu kwa viumbe vyote. Ona jinsi maji yalivyo muhimu sana katika kila sehemu yenye uhai duniani, kuanzia kwenye molekuli ndogo zaidi hadi kwenye bahari kubwa.