TAZAMA
Maandishi
Picha

Pakua:

 1. 1. Upweke ninaohisi si rahisi.

  Yehova naona kosa langu.

  Nimeshuka moyo, ninahitaji nguvu.

  Kurudi kule nilipotoka.

  (KORASI)

  Nakumbuka mafundisho​—Sijasahau​—

  Hazina za neno lako Yehova.

  Hata nikijikwaa, Nikianguka,

  Nitainuka.

 2. 2. Najua wanaonijali,

  Walionipenda,

  Wampenda Yehova kikweli.

  Nalo neno lako laniangazia njia.

  ya uzima, na nikukurudie.

  (DARAJA)

  Kila mahali ninakumbushwa kuhusu ukweli:

  Mwisho u Karibu!

  (KORASI)

  Tafadhali Yehova unisikie

  Na unisaidie Naomba.

  Wajua nikijikwaa Mara nyingi,

  Nitainuka.

  (DARAJA)

  Yehova anaelewa; nahitaji msaada.

  Anausoma moyo wangu jinsi nilivyo.

  Anatafuta mazuri.

  (KORASI)

  Naenda mkutanoni, nione upendo,

  Ninapohisi nipo salama.

  Hata nikijikwaa, Nikianguka, Nitainuka.

  Nitainuka.