TAZAMA
Maandishi
Picha

Pakua:

 1. 1. Maishani mwake,

  Amemwona.

  Shangwe na huzuni,

  Ameiona.

  Alipojitoa

  Licha ya shida,

  Mungu alifurahi.

  (KORASI)

  Binti mpendwa, Wamfurahisha.

  Sikuzote, Akupenda.

 2. 2. Anajidhabihu—

  Ana bidii.

  Shauri la Mungu,

  Anafuata,

  Athamini sana

  Upendo wake.

  Afurahi kumsikia:

  (KORASI)

  “Binti mpendwa, Wanifurahisha.

  Sikuzote, Nakupenda.”

  (DARAJA)

  Yehova Mungu

  Anafahamu

  Upendo wako

  Na bidii yako.

  Atakumbuka

  Hadi milele

  Kazi yako.

  (KORASI)

  Binti mpendwa, Wamfurahisha.

  Binti mpendwa, Mko pamoja.

  Binti mpendwa, Atakutunza.

  Binti mpendwa, Milele.