Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya

 Wimbo 151

Kufunuliwa kwa Wana wa Mungu

Kufunuliwa kwa Wana wa Mungu

Pakua:

(Waroma 8:19)

 1. Punde Mungu afunue

  Wana wateule.

  Mbinguni watatawala

  pamoja na Kristo.

  (KORASI)

  Mungu atawafunua

  Pamoja na Kristo.

  Watashiriki ushindi

  Wapate thawabu.

 2. Karibu atawaita

  na kuwakusanya.

  Mabaki wa kundi dogo,

  wajiunge naye.

  (KORASI)

  Mungu atawafunua

  Pamoja na Kristo.

  Watashiriki ushindi

  Wapate thawabu.

  (DARAJA)

  Halafu vita vya mwisho

  wakiwa na Kristo.

  Ndoa ya Mwana-Kondoo

  idumu milele.

  (KORASI)

  Mungu atawafunua

  Pamoja na Kristo.

  Watashiriki ushindi

  Wapate thawabu.