Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya

 Wimbo Na. 150

Tumejitoa Kutumikia

Tumejitoa Kutumikia

Pakua:

(Mathayo 9:37, 38)

 1. Ee Yehova unajua

  jinsi ya kutupa shangwe.

  Waandaa njia nyingi,

  sisi tukutumikie.

  (KORASI)

  Yehova, twafanya,

  yote twezayo.

  Kwenye uhitaji, twaenda.

  Tumejitoa.

 2. Kazi nyingi kotekote.

  Tunaenda, kujitoa.

  Twawajali, watu wote.

  msaada tunawapa.

  (KORASI)

  Yehova, twafanya,

  yote twezayo.

  Kwenye uhitaji, twaenda.

  Tumejitoa.

 3. Twajifunza lugha mpya.

  Na ujenzi twashiriki.

  Twajaribu mbinu mpya,

  Tufunze habari njema.

  (KORASI)

  Yehova, twafanya,

  yote twezayo.

  Kwenye uhitaji, twaenda.

  Tumejitoa.