Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya

 Wimbo Na. 149

Tunathamini Fidia

Tunathamini Fidia

Pakua:

(Luka 22:20)

 1. Tumesimama,

  mbele zako Yehova,

  Upendo mkubwa

  Yah ulituonyesha.

  Ulitoa mwana mpendwa,

  dhabihu.

  Twathamini sana

  kulipa hatuwezi.

  (KORASI)

  Alikufa tuwe huru.

  Damu yake bei kubwa.

  Twashukuru,

  kwa moyo wetu wote milele.

 2. Kwa hiari

  Yesu alijidhabihu.

  Uhai wake

  mkamilifu kalipa.

  Wanadamu Yesu

  akawakomboa.

  Sasa uzima tutapata,

  bila kifo.

  (KORASI)

  Alikufa tuwe huru.

  Damu yake bei kubwa.

  Twashukuru,

  kwa moyo wetu wote milele.