Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya

 Wimbo Na. 144

Ni Uzima Kwao

Ni Uzima Kwao

Pakua:

(Ezekieli 3:17-19)

 1. Huu mwaka wa nia njema

  twatangaza

  Siku ya hasira ya Mungu

  I karibu.

  (KORASI)

  Ni uzima, si kwao tu;

  Ni uzima na kwetu.

  Ni uzima wakitii,

  Hivyo kote twatangaza;

  Tangaza.

 2. Ujumbe twautangaza kwa,

  mataifa.

  Wote twasihi wapatanishwe

  na Mungu.

  (KORASI)

  Ni uzima, si kwao tu;

  Ni uzima na kwetu.

  Ni uzima wakitii,

  Hivyo kote twatangaza;

  Tangaza.

  (DARAJA)

  Ujumbe, wa haraka,

  Wasikie na kuishi.

  Muhimu, tuwafunze;

  Wapate ukweli bure.

  (KORASI)

  Ni uzima, si kwao tu;

  Ni uzima na kwetu.

  Ni uzima wakitii,

  Hivyo kote twatangaza;

  Tangaza.

(Ona pia 2  Nya. 36:15; Isa. 61:2; Eze. 33:6; 2 The. 1:8.)