TAZAMA
Maandishi
Picha

(Zaburi 97:1)

 1. 1. Mshangilieni Yehova.

  Mbingu na dunia zamtukuza.

  Nyimbo za shangwe na tumwimbie Mungu.

  Kazi zake tuzitangaze.

  (KORASI)

  Mbingu zifurahi, na dunia pia,

  Sasa Yehova ni Mfalme!

  Mbingu zifurahi, na dunia pia,

  Sasa Yehova ni Mfalme!

 2. 2. Tangaza utukufu wake.

  Yehova Mungu wetu huokoa.

  Astahili sifa, Yehova Mfalme,

  Mbele zake tunainama.

  (KORASI)

  Mbingu zifurahi, na dunia pia,

  Sasa Yehova ni Mfalme!

  Mbingu zifurahi, na dunia pia,

  Sasa Yehova ni Mfalme!

 3. 3. Yah anatawala kwa haki.

  Amemtawaza Kristo Mwanaye.

  Miungu yote

  imwinamie yeye,

  Kwa kuwa astahili sifa.

  (KORASI)

  Mbingu zifurahi, na dunia pia,

  Sasa Yehova ni Mfalme!

  Mbingu zifurahi, na dunia pia,

  Sasa Yehova ni Mfalme!