TAZAMA
Maandishi
Picha

(Mathayo 9:37, 38)

 1. 1. Baba yetu, anajua.

  Kuna shangwe kutumika.

  Anatupa fursa nyingi.

  Tupanue utumishi.

  (KORASI)

  Twafanya twezayo

  Kwa nguvu zote

  Kwenye uhitaji, twaenda.

  Tumejitoa.

 2. 2. Kuna mengi ya kufanya

  Twawajali watu wote.

  Na wakati wa majanga,

  Twaandaa misaada.

  (KORASI)

  Twafanya twezayo

  Kwa nguvu zote

  Kwenye uhitaji, twaenda.

  Tumejitoa.

 3. 3. Nazo kazi za ujenzi

  Twashiriki kwa bidii.

  Lugha mpya twajifunza

  Tufundishe wote kweli.

  (KORASI)

  Twafanya twezayo

  Kwa nguvu zote

  Kwenye uhitaji, twaenda.

  Tumejitoa.