Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

 WIMBO NA. 67

“Lihubiri Neno”

Chagua Rekodi ya Sauti
“Lihubiri Neno”
TAZAMA
Maandishi
Picha

(2 Timotheo 4:2)

 1. 1. Mungu ametuamuru;

  Ametupa kazi ya kufanya.

  Sikuzote tuwe tayari,

  Kuwapa wengine tumaini.

  (KORASI)

  Tuhubiri,

  Wote tusaidie!

  Hubiri,

  Mwisho wakaribia.

  Hubiri,

  Wafundishe wapole.

  Hubiri,

  Kotekote!

 2. 2. Hata tukisumbuliwa;

  Upinzani, chuki, na dhihaka.

  Japo tunadharauliwa,

  Twatumai Mungu bila shaka.

  (KORASI)

  Tuhubiri,

  Wote tusaidie!

  Hubiri,

  Mwisho wakaribia.

  Hubiri,

  Wafundishe wapole.

  Hubiri,

  Kotekote!

 3. 3. Mungu atatubariki,

  Tutaendelea kufundisha.

  Wokovu tutautangaza,

  Na jina la Mungu kutakasa.

  (KORASI)

  Tuhubiri,

  Wote tusaidie!

  Hubiri,

  Mwisho wakaribia.

  Hubiri,

  Wafundishe wapole.

  Hubiri,

  Kotekote!