TAZAMA
Maandishi
Picha

(Ezekieli 3:17-19)

 1. 1. Twatangaza kote

  Mwaka wa nia njema.

  Na siku ya kisasi

  Inakaribia.

  (KORASI)

  Ni uzima, si kwao tu;

  Ni uzima na kwetu.

  Ni uzima, wakitii,

  Hivyo kote twatangaza

  Ufalme.

 2. 2. Twatangaza kote

  katika mataifa.

  Watu wapatanishwe

  na Yehova Mungu.

  (KORASI)

  Ni uzima, si kwao tu;

  Ni uzima na kwetu.

  Ni uzima, wakitii,

  Hivyo kote twatangaza

  Ufalme.

  (DARAJA)

  Ujumbe, wa haraka!

  Tujulishe watu wote.

  Wajue, wajifunze.

  Waipate kweli bure.

  (KORASI)

  Ni uzima, si kwao tu;

  Ni uzima na kwetu.

  Ni uzima, wakitii,

  Hivyo kote twatangaza

  Ufalme.