TAZAMA
Maandishi
Picha

(Methali 27:11)

 1. 1. Mungu nadhiri twaweka;

  Kazi yako tutafanya.

  Kufanya mapenzi yako

  Hukufurahisha moyo.

 2. 2. ‘Mtumwako mwaminifu,’

  Sifa zako hutangaza.

  Anatulisha kiroho,

  Ili tukutumikie.

 3. 3. Tupe roho takatifu,

  Tuwe washikamanifu.

  Tufanye uyapendayo,

  Moyo wako ufurahi.