Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

 WIMBO NA. 32

Simama Upande wa Yehova!

Chagua Rekodi ya Sauti
Simama Upande wa Yehova!
TAZAMA
Maandishi
Picha

(Kutoka 32:26)

 1. 1. Tulichanganyikiwa mwanzoni,

  Tulinyweshwa uwongo wa dini.

  Tulipopata habari njema,

  Tulifurahi sana.

  (KORASI)

  Simama upande, Wake Yehova.

  Yah hatakuacha; Nenda nuruni.

  Na habari njema, Kote tangaza.

  Ufalme wa Kristo, Hautakoma.

 2. 2. Bega kwa bega twatumikia,

  Twautangaza Ufalme kote.

  Watu wote wajiamulie,

  Kuwa upande Wake.

  (KORASI)

  Simama upande, Wake Yehova.

  Yah hatakuacha; Nenda nuruni.

  Na habari njema, Kote tangaza.

  Ufalme wa Kristo, Hautakoma.

 3. 3. Hatutamwogopa Ibilisi,

  Tunamtegemea Yehova.

  Japo ni wengi, sisi wachache,

  Mungu ni ngome yetu.

  (KORASI)

  Simama upande, Wake Yehova.

  Yah hatakuacha; Nenda nuruni.

  Na habari njema, Kote tangaza.

  Ufalme wa Kristo, Hautakoma.