Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

 WIMBO NA. 30

Baba Yangu, Mungu Wangu, Rafiki Yangu

Chagua Rekodi ya Sauti
Baba Yangu, Mungu Wangu, Rafiki Yangu
TAZAMA
Maandishi
Picha

(Waebrania 6:10)

 1. 1. Maisha ni magumu.

  Naumia, ninateseka.

  Lakini ninajua,

  “Maisha si bure.”

  (KORASI)

  Mungu ni mwadilifu,

  Upendo wangu akumbuka.

  Hataniacha kamwe,

  Mungu wangu yuko nami.

  Ndiye huniruzuku

  na kunilinda sikuzote.

  Baba yangu, Mungu wangu,

  na Rafiki.

 2. 2. Miaka imesonga;

  Nguvu zangu zimepungua.

  Kwa imani naona,

  Tumaini langu.

  (KORASI)

  Mungu ni mwadilifu,

  Upendo wangu akumbuka.

  Hataniacha kamwe,

  Mungu wangu yuko nami.

  Ndiye huniruzuku

  na kunilinda sikuzote.

  Baba yangu, Mungu wangu,

  na Rafiki.

(Ona pia Zab. 71:​17, 18.)