TAZAMA
Maandishi
Picha

(Waroma 8:19)

 1. 1. Tunasubiri kwa hamu

  Wana wateule

  Wafunuliwe mbinguni

  Pamoja na Kristo.

  (KORASI)

  Mungu atawafunua

  Pamoja na Kristo.

  Watashiriki ushindi

  Na kuthawabishwa.

 2. 2. Tarumbeta italia

  Wote wakusanywe.

  Watiwa mafuta wote

  Wajiunge naye.

  (KORASI)

  Mungu atawafunua

  Pamoja na Kristo.

  Watashiriki ushindi

  Na kuthawabishwa.

  (DARAJA)

  Wakiwa na Yesu Kristo,

  Wapigane vita.

  Kisha shangwe ya harusi,

  Ya mwana-kondoo.

  (KORASI)

  Mungu atawafunua

  Pamoja na Kristo.

  Watashiriki ushindi

  Na kuthawabishwa.