TAZAMA
Maandishi
Picha

(1 Petro 2:9)

 1. 1. Mungu ana taifa,

  la watiwa-mafuta.

  Aliowanunua,

  wawe mali yake.

  (KORASI)

  Mali ya pekee,

  Watu wa jina lake.

  Wanaompenda.

  Wanatangaza sifa zake.

 2. 2. Ni taifa teule,

  Wateteao kweli.

  Wametoka gizani,

  Amewapa nuru.

  (KORASI)

  Mali ya pekee,

  Watu wa jina lake.

  Wanaompenda.

  Wanatangaza sifa zake.

 3. 3. Na kondoo wengine,

  Wawakusanya pia.

  Wa’minifu kwa Kristo,

  na utume wao.

  (KORASI)

  Mali ya pekee,

  Watu wa jina lake.

  Wanaompenda.

  Wanatangaza sifa zake.