Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’

 WIMBO NA. 23

Yehova Aanza Kutawala

Chagua Rekodi ya Sauti
Yehova Aanza Kutawala
TAZAMA
Maandishi
Picha

(Ufunuo 11:15)

 1. 1. Ufalme watawala,

  Toka juu mbinguni.

  Kristo anatawala Sayuni.

  Wote washangilie.

  Yehova wamwimbie.

  Bwana Kristo

  Ameanza kutawala.

  (KORASI)

  Utaleta nini Ufalme?

  Kweli haki zitashinda.

  Utaleta nini kingine?

  Uzima na shangwe tele.

  Sifu Mwenye Enzi Kuu,

  Kwa fadhili-upendo.

 2. 2. Kristo anatawala,

  HarMagedoni yaja.

  Mfumo wa Shetani ukome.

  Sasa ndio wakati

  Wa kuhubiri kote.

  Wapole wamtii

  Yehova Mungu.

  (KORASI)

  Utaleta nini Ufalme?

  Kweli haki zitashinda.

  Utaleta nini kingine?

  Uzima na shangwe tele.

  Sifu Mwenye Enzi Kuu,

  Kwa fadhili-upendo.

 3.  3. Mfalme wa Yehova;

  Mwenye fahari kubwa.

  Kwa jina la Mungu anakuja.

  Ingia malangoni

  mwa hekalu tukufu,

  Hivi punde

  Vyote atavitawala.

  (KORASI)

  Utaleta nini Ufalme?

  Kweli haki zitashinda.

  Utaleta nini kingine?

  Uzima na shangwe tele.

  Sifu Mwenye Enzi Kuu,

  Kwa fadhili-upendo.