Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’

 WIMBO NA. 21

Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme

Chagua Rekodi ya Sauti
Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme
TAZAMA
Maandishi
Picha

(Mathayo 6:33)

 1. 1. Ufalme wa Kristo Yesu,

  Utakaotawala,

  Ni wenye thamani sana,

  Mbele zake Yehova.

  (KORASI)

  Tafuta Ufalme kwanza,

  Pia uadilifu.

  Mwimbieni Mungu sifa,

  Na kumtumikia.

 2. 2. Msihangaishwe sana,

  Na chakula, mavazi.

  Mungu ataturuzuku,

  Tukiutanguliza.

  (KORASI)

  Tafuta Ufalme kwanza,

  Pia uadilifu.

  Mwimbieni Mungu sifa,

  Na kumtumikia.

 3. 3. Ufalme utangazeni;

  Saidieni watu,

  Wamtumaini Mungu,

  Na utawala wake.

  (KORASI)

  Tafuta Ufalme kwanza,

  Pia uadilifu.

  Mwimbieni Mungu sifa,

  Na kumtumikia.