TAZAMA
Maandishi
Picha

(2 Samweli 22:1-8)

 1. 1. Yehova Mungu wetu uliye hai.

  Kazi zako kuu,

  mbingu na dunia.

  Ndiwe Mungu pekee, Mweza-yote

  ​—milele.

  Wakujue wewe.

  (KORASI)

  Yehova huokoa wa’minifu.

  Wamwone kuwa Mungu wa nguvu nyingi.

  Kwa bidii na ujasiri

  sisi sote,

  Twatangaza jina kuu

  lake Yehova.

 2. 2. Japo kuna kifo, nakutegemea,

  “Yehova unipe,

  ujasiri, nguvu.”

  Toka hekalu lako,

  usikie, ‘Nifiche,

  Niokoe, Mungu.’

  (KORASI)

  Yehova huokoa wa’minifu.

  Wamwone kuwa Mungu wa nguvu nyingi.

  Kwa bidii na ujasiri

  sisi sote,

  Twatangaza jina kuu

  lake Yehova.

 3.  3. Utakaponguruma

  kutoka juu.

  Maadui wako,

  waingiwe hofu.

  Wakutumikiao, wafurahi.

  Wajue

  U Mwokozi wetu.

  (KORASI)

  Yehova huokoa wa’minifu.

  Wamwone kuwa Mungu wa nguvu nyingi.

  Kwa bidii na ujasiri

  sisi sote,

  Twatangaza jina kuu

  lake Yehova.