Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

 WIMBO NA. 135

Mwaliko Wenye Upendo wa Yehova: “Uwe na Hekima, Mwanangu”

Chagua Rekodi ya Sauti
Mwaliko Wenye Upendo wa Yehova: “Uwe na Hekima, Mwanangu”
TAZAMA
Maandishi
Picha

(Methali 27:11)

 1. 1. Binti na mwanangu,

  nipe moyo wako.

  Apate kuona

  yule mdhihaki.

  Nawe unitumikie

  kwa kupenda;

  Na ulimwengu

  uone wanipenda.

  (KORASI)

  Binti yangu, nawe mwanangu,

  Furahisha moyo wangu.

  Nitumikie kwa hiari,

  Na kusifu jina langu.

 2. 2. Nitumikie kwa

  shangwe na furaha.

  Ujapoanguka,

  Nitakuinua.

  Hata ukivunjwa moyo

  na yeyote,

  Kumbuka ninakupenda

  sikuzote.

  (KORASI)

  Binti yangu, nawe mwanangu,

  Furahisha moyo wangu.

  Nitumikie kwa hiari,

  Na kusifu jina langu.