Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

 WIMBO NA. 122

Iweni Imara, Thabiti!

Chagua Rekodi ya Sauti
Iweni Imara, Thabiti!
TAZAMA
Maandishi
Picha

(1 Wakorintho 15:58)

 1. 1. Mataifa yana wasiwasi,

  Mambo yanabadilika kasi.

  Na tuwe thabiti na imara,

  Tutende kwa busara.

  (KORASI)

  Imara tusimame;

  Nyuma tusitazame.

  Kwa utimilifu,

  Mungu tumsifu.

 2. 2. Mitego ya mfumo yazidi.

  Tutashinda tukijitahidi.

  Yaliyo kweli tukifuata,

  Ulinzi tutapata.

  (KORASI)

  Imara tusimame;

  Nyuma tusitazame.

  Kwa utimilifu,

  Mungu tumsifu.

 3. 3. Ibada iwe ya moyo wote.

  Tusilaumiwe kwa lolote.

  Habari njema na tueneze.

  Mungu tumpendeze.

  (KORASI)

  Imara tusimame;

  Nyuma tusitazame.

  Kwa utimilifu,

  Mungu tumsifu.