TAZAMA
Maandishi
Picha

(Waefeso 4:8)

 1. 1. Mungu ametuandalia,

  Wachungaji wake.

  Wanatuwekea mfano,

  Jinsi ya kwenenda.

  (KORASI)

  Mungu atupa wanaume,

  Wanaotegemeka.

  Wanahangaikia kundi;

  Waungeni mkono.

 2. 2. Wachungaji watupendao;

  Wanatuongoza.

  Maneno yao hufariji,

  Tunapoumia.

  (KORASI)

  Mungu atupa wanaume,

  Wanaotegemeka.

  Wanahangaikia kundi;

  Waungeni mkono.

 3. 3. Watumia Neno la Mungu,

  Tusikengeushwe.

  Tupate kuishi Kikristo,

  Tupendeze Mungu.

  (KORASI)

  Mungu atupa wanaume,

  Wanaotegemeka.

  Wanahangaikia kundi;

  Waungeni mkono.