TAZAMA
Maandishi
Picha

(Waefeso 4:3)

 1. 1. Katika zizi la Mungu.

  Unabii watimia.

  Kuna amani, umoja,

  Na furaha tele.

  Twapenda umoja;

  Na upatano.

  Katika kazi ya Mungu,

  Kuna mengi ya kufanywa.

  Tutumikie pamoja,

  Tuwe na utii.

 2. 2. Tumwombe Yehova Mungu,

  Tuwe na akili moja;

  Upendo uongezeke;

  Tuwe na amani.

  Inaburudisha,

  Inapendeza.

  Na tuonyeshe undugu,

  Mungu atupe amani.

  Umoja wetu udumu,

  Tutumikiapo.