Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

AMKENI! Desemba 2015 | Kudumisha Amani Nyumbani

Unaweza kufanikiwa kuepuka mizozo na kudumisha amani nyumbani.

HABARI KUU

Ni Nini Chanzo cha Ugomvi Katika Familia?

Je, mizozo inayotajwa katika makala hii inafanana na ile inayotokea nyumbani kwako?

HABARI KUU

Jinsi ya Kukomesha Mizozo Nyumbani

Ikiwa mizozo hutokea nyumbani kwako fuata hatua hizi sita ili kuwe na amani.

HABARI KUU

Jinsi ya Kuchangia Amani Katika Familia

Je, hekima ya Biblia inaweza kuleta amani mahali ambapo kuna mizozo? Ona maoni ya watu ambao wamefuata ushauri wake.

KUTOKA KWA WASOMAJI WETU

Mapendezi Yanapotofautiana

Je, unafikiri kwamba wewe na mwenzi wako mna mapendezi yanayotofautiana?

Nyangumi Wamefika!

Inawezekanaje kwa kiumbe wa majini mwenye uzito wa tani 80 kusafiri?

MAONI YA BIBLIA

Nafsi

Je, nafsi inaweza kufa? Je, nafsi inaweza kutenganishwa na mwili?

KUUTAZAMA ULIMWENGU

Kuimulika Ulaya

Huenda ukashangazwa na jinsi habari hizi za karibuni zinavyohusiana na Biblia.

Fahirisi ya Amkeni! kwa Mwaka wa 2015

Orodha ya makala zilizochapishwa mwaka wa 2015 zikiwa zimeorodheshwa kulingana na habari.

JE, NI KAZI YA UBUNI?

Uwezo wa Mwili wa Mwanadamu wa Kujiponya

Wanasayansi wameigaje uwezo huo wanapotengeneza plastiki?

Habari Zaidi Mtandaoni

Unafurahi Unapotoa

Kuna njia nyingi za kuwaonyesha wengine ukarimu. Unaweza kufikiria njia kadhaa?

Kuishi Bila Kuona na Kusikia

James Ryan alizaliwa akiwa kiziwi na baadaye akawa kipofu. Ni nini ambacho kimempa kusudi halisi maishani?