Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

AMKENI! Agosti 2015 | Chembe Zako—Maktaba Iliyo Hai!

Ugunduzi wa muundo wa DNA umewasaidia sana wanasayansi kuelewa vizuri uhai.

HABARI KUU

Chembe Zako—Maktaba Iliyo Hai!

Ni nini kilichowafanya wanasayansi mashuhuri waache kuamini mageuzi?

KUTOKA KWA WASOMAJI WETU

Kuwafundisha Watoto Sifa ya Kujizuia

Kumpatia mtoto kila kitu anachotaka huenda kusimsaidie.

Elimu ya Biblia Husaidia Watu Kujua Kusoma na Kuandika

Josefina alijiunga katika programu ya kujifunza kusoma na kuandika inayofanywa na Mashahidi wa Yehova akiwa na umri wa miaka 101. Alipata matokeo gani?

MAONI YA BIBLIA

Uvumilivu

Je, Biblia inasema kwamba kuna mipaka katika kuonyesha uvumilivu?

Alishikamana na Imani Yake

Song Hee Kang alifanikiwa kukabiliana na ugonjwa uliohatarisha maisha alipokuwa na umri wa miaka 14.

JE, NI KAZI YA UBUNI?

Mfumo wa Gia wa Panzi Anayeitwa Issus

Ni jambo la pekee sana kwa panzi huyo kuweza kuruka kwa kasi na kisha kuwa na uwezo wa kudhibiti.

Habari Zaidi Mtandaoni

Vijana Wanazungumza Kuhusu Kutunza Afya

Je, ni vigumu kwako kula vizuri na kufanya mazoezi? Katika video hii vijana fulani wanaeleza mambo ambayo wao hufanya ili kudumisha afya nzuri.

Watii Wazazi Wako

Kwa nini unapaswa kuwatii wazazi wako? Tazama video hii ujifunze pamoja na Kaleb.